Kama Ulikimisi Kipindi Cha Mkasi. Taarifa hii Inakuhusu
Hakika baada ya msimu wa mkasi kuisha kililetwa kipindi cha ‘Ngazi Kwa Ngaz’ kilichokuwa kinaendeshwa na Salama Jabiri. Habari ni kwamba kipindi cha ngazi kwa ngazi ndo basi tena, na kaa mkao wa kula kwaajili ya kipindi cha mkasi kurejea hivi karibuni.
Manyamajr.com inakukumbusha kuwa kipindi cha Mkasi ndio kilikuwa kipindi pekee cha kujajua maisha halisi ya watu wenye vyeo majina makubwa kwa hapa bongo.
Ili usipitwe na hata tone ya taarifa kutoka mkasi basi unapaswa kuipakuwa app ya Manyamajr.com inayopatikana Youtube au gusa hapa>> MANYAMAJR.COM.