Trending News>>

Costa ataka kurudi Atletico Madrid

Diego Costa ameiambia Atletico Madrid kuwa anataka kujiunga nao tena.

Mchezaji huyo wa Chelsea alidhibitisha tarehe 8 juni kuwa ametumiwa meseji na kocha wa timu hiyo Antonio Conte kuwa hayupo kwenye miango ya msimu ujao.

Kama Costa atajiunga na Atletico Madrid hatuweza kucheza hadi januari kwasababu timu hiyo imefungiwa na Fifa.

No comments:

Powered by Blogger.