Trending News>>

CCM mstari wa mbele mazishi ya Ally Yanga..



Chama cha Mapinduzi  (CCM) Dodoma kimesimama mstari wa mbele kwenye kushughulikia mazishi ya Shabiki maarufu nchi wa Klabu ya Yanga Ali Yanga.

 Katibu Mkuu wa Chama hicho Mkoa wa Dododma Jamila Yusuphu ameliwaomba wanachama wote kujitokeza kwenye kuaga mwili wa Marehemu huyo kwenye Hospitali ya Mkoa wa huo kuazia majira ya saa 9 alasiri

Mwili wa Ally Yanga utasafirishwa hadi mkoani  Shinyanga na Kuzikwa  kesho mkoani humo

No comments:

Powered by Blogger.