YANGA YAJIKITA KILELENI YAIPIGA TANZANIA PRISONS 2-0
Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mashiuya (kulia), akichuana na beki wa Tanzania Prisons, Michael Ismail. (Picha na Francis Dande).
Kipa
wa Tanzania Prisons, Aron Kalambo, akipata huduma ya kwanza baada ya
kuumia katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Yanga
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda
2-0.
Mshambuliaji
wa Yanga, Geofrey Mashiuya (kulia), akichuana na beki wa Tanzania
Prisons, Nurdin Chona katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda
2-0.
Beki wa
Yanga, Vincent Bossou akimtoka kipa wa Tanzania Prisons, Aron Kalambo
katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Yanga
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Obrey Chirwa.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia.
No comments:
Post a Comment