Trending News>>

WAZIRI WA ELIMU PROF. NDALICHAKO AIBUKA NA SAKATA JIPYA…HAKIKA HILI HABAKI MTU KAZINI WATUMISHI WAHAHA TENA


Waziri wa elimu prof Ndalichako amesema serikali italazimika kupitia elimu za watumishi wake kwani wengi wao licha ya kua na vyeti vizuri lakini kilichomo vichwani mwao ni duni sana ukilinganisha na vyeti source waziri akiwa tbc. Kwa mfumo huu wa sasa kiukweli hakuna atakayebaki kazini.

Kama kweli waziri wa Elimu Prof. Ndalichako atayafanyia kazi haya ambayo ameyazungumza TBC mimi ninaimani kubwa sana watumishi wengi wataondoka kazini tena kwa idadi kubwa sana kupita hata wale wa vyeti feki, na hii inatokana na kuwa na elimu ambazo nizakupachikwa kwani ukimchukua mtu afanye kazi kutokana na elimu yake kiukweli ulimwingu utavurugika kwani wengi wao hawana ujuzi kabisa....

No comments:

Powered by Blogger.