Trending News>>

SIMULIZI :: Jini Mahabati Sehemu ya Pili (Kwa wenye miaka 18+)

By 
 

SIMULIZI : JINI MAHABATI
SEHEMU YA PILI
MTUNZI:JONATHAN MANYAMA
AGE: 18+
Razia aliaandika namba kisha akotoka zake na kuondoka. “Yaani huyu  mwalimu aseme tu amedata na mimi na alitaka namba zangu sio eti form imekosewa” aliwaza Razia huku akiwa anaondoka. Aliondoka na alipofika getini alikodi tax na kumpeleaka mahali alipokuwa anakaa.
Yaani wangejua kuwa mimi na uzuri wote huu mpaka sa hivi sijaguswa ni bikira hata wasinge angaika na mimi. Ila safari hii sijui kama nitaweza kujizuia maana nitakuwa huru kabisa na wazazi waliokuwa wakinilinda watakuwa mbali aliwaza Razia na kuingia Chumbani kwake, chumba alichokodisha mara baada ya kukosa hostel kwa sababu alichelewa kuripoti chuoni.
************************
Pangani mkoani Tanga miaka mingi sana iliyopita kuliwahi kutokea binti mzuri sana na mwenye umbo na sura kama ya Razia. Binti huyu maarufu alijulikana kwa jina la Barike. Inasemekana binti huyo alikuwa ni mwanamke mzuri sana, mwenye mwendo wa madaha , mwendo uletao raha mwendo usio na karaha mwendo wa kuvutia kila alipojaribu kupiga hatua.
Alikuwa kama mwarabu mwenye rangi ya dhahabu na hasiye na ghadhabu na pia alipenda kuvaa magauni marefu kama hayo apendayo kuvaa Razia. Basi binti huyo alikuwa akitokea kwenye familia ya kitajiri na baba yake alikuwa ni Mwinyi  au unaweza kusema Chifu katika mjini huo wa Pangani.
Siku moja binti huyu alikwenda kuoga sehemu maarufu ambayo huwa wanaitumia kuoga na kufanya matambiko. Sehemu hiyo kuna rasi ambayo ukiingia kuna mlango wa kutokea Unguja. Basi binti huyo alikuwa na mfanyakazi wao na kwa bahati mbaya alikuwa kwenye siku zake za hedhi.
Basi walioga na walipomaliza walianza kusukana huku wakibarizi na kupunga upepo. Ghafla kulitokea tukio la ajabu sana katika historia ya mji huo kwani binti yule alibadilika na kuwa jiwe. Kwa mujibu wa wakazi wa huko walidai kuwa binti huyo alifanya makosa makubwa kwenda kuoga katika sehemu hiyo yenye kuheshimika akiwa katika siku zake za mwisho wa mwezi.
Baadaye miaka mingi ilivyopita akaja akatokea tena binti mzuri mfanowe wa yule Barike aliyekufa kwenye mazingira ya kutatanisha. Binti huyo hakuwa Barike bali ni jini ambalo likuwa likiwalaghai watu na kuwaingiza matatani. Wanaume wengi sana walikufa hasa wale waliokuwa na tamaaa ya kumtokea na kuomba kuonjeshwa mautamu.
Baadaye watu walivyokuja kushituka shetani huyo ambaye alifafana na Barike alikuja kupotea na watu wakamsahau.
Kama tujuavyo majini ni viumbe waliopewa uwezo mkubwa sana kuliko wanadamu. Mizimu yao uishi miaka mingi sana na pengine kuwaingia watu mbalimbali na kuwafanya watumwa.
Mzimu huo wa Barike ndio ulimuiingia Razia akiwa usingizini mara baada ya kukamilisha michakato yake ya kujiunga na chuo. Mzimu huo ulimwingia binti huyo kwa lengo moja tu kwamba limtumie awe anafanya mapenzi na wanaume wengi kadiri awezavyo ili wao wapate manii za wanaume ambazo wangezitumia kwa mambo yao ya kijini jini.
Maninii hizo zingechukuliwa kimiujiza na baadaye kupandikizwa kwa baadhi ya wanawake ambao walipotea kwenye mazingira ya kutatanisha katika miji mbali mbali ya nchi za aAfrika mashariki hususani nchi za pembezoni mwa bahari.
Tofauti na tulivyozoea kuwa jini mahaba la kiume ndo umwingia mwanamke na huwa linamsababishia matatizo mengi na kumfanya hashindwe kuolewa hili nia yake ilikuwa ni tofauti kabisa lenyewe ni kumtia mvuto zaidi  ili aweze kufanya mapenzi kadiri awezavyo na wao kujipatia manii ambazo baadaye zingepelekea wao kupata watoto ambao wangetumika kuingiza utwala wa kijini katika nchi hizo za mashariki mwa bara la Afrika .
Mzimu huu wa Barike uliamua kumwiingilia Razia kwa sababu alikuwa ni mrembo sana hivyo angeweza kuwashawishi wanaume kiurahisi. Pia kazi hiyo ilitakiwa ifanywe na mwanamke ambaye ni bikira.
Kwa kile kilichoitwa kutimiza masharti ya kikao chao cha wakati wa jua kuzama Jini Barike alipewajukumu hilo la kutafuta binti mrembo na kumwingia.Tofauti na zamani ambapo jini hilo lilikuwa likiwalaghai wanauume na kuwatia hatiani ikiwa ni pamoja na kuwakatisha uhai sa hivi walikuja na mbinu yamda mrefu.
Waliamini kama watapata manii za wanaume basi wangeweza kuzipandikiza kwa majini wa kike kisha kuzaa watoto machotara ambao wangetumika kuingiza utawala wao wa kijini miongoni mwa wanadamu. Basi Jini Barike alianza kazi na kwa uwezo mkubwa waliopewa viumbe hao mzimu wa jinni huo uliweza kugundua kuwa katika chuo cha Eckernford kuna binti mrembo anayeitwa Razia.
*****************************
Usiku wa siku hiyo Razia aliota ndoto ambayo hakuielewa. Aliota kama mtu aliyekuwa akifanya mapenzi na mwanaume aliyempenda sana. Lakini kwa kuwa hakuwahi kufanya mapenzi alianza kupata uchungu mkali mara baada ya mwanaume huyo kumwingilia.
Maumivu hayo makali yalimfanya Razia kushituka kutoka usingizini. Alipigwa na butwaa mara baada ya kukuta shuka jeupe alilotandika limelowa damu. “Hii ni ndoto au ni kweli alijuuliza Razia huku akijikagua sehemu zake za siri” Ooooooops ooooooh my God what is this?” alilalamika Razia mara baada ya kuhisi kuna mwanaume alimwingilia.
**ITAENDELEA**💋💋💋

No comments:

Powered by Blogger.