Trending News>>

SIMULIZI :: Jini Mahabati Sehemu ya Kumi na Mbili (Kwa wenye miaka 18+)



SIMULIZI : JINI MAHABATI
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
MTUNZI:MANYAMASON
AGE: 18+
ILIPOISHIA
Ikawa kama anafanya makusudi muuza chipsi akiongeza spidi na yeye anaongeza kutoa sauti za mahaba akipunguza na yeye anapunguza.Baadaye Radhia alianza kuchoka na staili hiyo akajichomoa kisha akampa mkono mkaka huyo wakaamia kitandani.Kukuru kakara zao pale kitandani zikawafanya wasahu kuwa hata mlango hawakuufunga.Wakaendelea kuchakachuna kwa staili maarufu ya kifo cha mende. Kabla ya kuhisi kama kuna mtu alikuwa akibisha hodi. Bado kwa utamu wa jinni mahabati bado muuza chipsi alijikunja na kuendeleza zoezi la kutafuta madini yaliyopotea.***
SONGA NAYO.
Baada ya kimya cha walio ndani mgongaji mlango naye aliamua kuingia hivyo hivyo bila kukaribishwa. “Mungu wangu alistaaajabu ya Musa na kuyaona ya firauni mgeni huyo mara baaada ya kusiikia migumuio ya raha za huba aliyokuwa akiitoa Radhia. “Huyu mimi nilishamwambia si bure huenda amelongwa au anapandwa na jinni mahabati maana kila siku yeye ni kutaka kukunwa tena na wanaume mbali mbali “ aliwaza mgeni huyo kabla ya kuamua kutoka taratibu na kwenda kukaa nje ya nyumba hiyo. Sasa hapa sijui hata kama hii assignment itafanyika tena maana mwenzangu yupo ulimwengu mwingine aliwaza Halima ambye ni rafiki wa karibu wa Radhia.***
Wakati Halima akiendelea kutafakari hayo mara alimwona Tariq akiwa anakuja kutokea upande wa pili huku akionekana ni mwenye furaha.Kwa mwendo huo wa haraka na kudunda dunda kama mtu aliyeokota pesa ilikuwa ni ishara ya wazi kuwa alikuwa akienda kwa Radhia.Kuna kitu ameaidiwa nini aliwaza Halima huku akitafuta njia ya kumzua maana alihisi itakuwa ni majanga kama akiingia kule chumbani na kukuta kuwa watu wakiendelea kupeana raha za dunia. “Mbona umesimama hapa lilikuwa ni swali la kwanza la Tariq kumuuliza Halima kabla hata ya salamu “Mmmh wewe naye hata salamu hakuna” binti huyo aliamua kumshushua Tariq.
“Alafu unaoekana una raha sana au umeokota pochi ya mwizi aliongeza Halima. “Mmmmh samahani shikamooo dada Halima” Tariq alisema kwa utani maana walikuwa wakalingana kiumri.
“Nipo hapa namsubiri Radhia amenambia ametoka kidogo hivyo yupo njiani anakuja alijaribu kudanganya Halima ili kumpoteza maboya kijana huyo. “Sasa kama yupo njiani anakuja kwa nini unamsubiria huku barabarani alijaribu kuhoji Tariq swali lililokuwa zito na lenye mantiki. “Pale kwake kuna wanaume wengi wamekaa kwa nje wakipiga story sasa mimi mtoto wa kike nimeona aibu kukaa pale nje” Halima alizidi kudanganya. “Basi twende tukamsubirie pale kwake maana kumsubiria mtu barabrani so jambo zuri alifafanua Tariq bila kujua ukweli wa mambo. “Hapana tusubiri kama dakika moja na tukiona haji ndo tuende alisema Halima huku akimshuka mkono kijana huyo ishara ya kumwekea pingamizi la wazi wazi.
Upande wa pili mechi baina ya muuza chipsi na jinni mahabti ilikuwa ikiendelea.Muuza chipsi aliamua kuitumia nafasi hiyo vizuri kwa kusafisha nyota yake na kuondoa mikosi yote aliyokuwa nayo.Maana yeye pia ni miongoni mwa wanaume ambao walikuwa wakipata mkosi wa kukataliwa na mademu na naweza kusema alikuwa na damu ya kunguni.Kwa hiyo siku hiyo ilikuwa ni sawa na kipofu kaona mwezi.Kwa mbwembewe akaanza kutumia zile staili za kusifiwa mbio na kupitiliza kwenu.
Akachukua miguu ya Radhia akaiweka magebani kwake huku yeye akiwa hivyo hivyo amepiga magoti kwenye sehemu ya kukalia ya sofa ya watu wawili.Huku kichwa cha Radhia kikiwa ile sehemu ya kuegemea pindi mtu anapokaa.Muuza chipsi alikuwa anafurahia mchezo wa kuingia na kutoka kwenye ikulu ya binti huyo.Kwa Radhia ilikuwa ni zaidi ya furaha kwa sababu muuza chipsi aliweza kumsugua vizuri na kufanikiwa kufikia sehemu zile zenye muwasho wa huba. Baada ya kuahakisha kuwa ametosheka kijana huyo alishusha miguu ya binti huyo na kuiweka chini.
Akaingia na kutoka kabla ya kuichomoa na kutaka kumwagia nje.Alishangaa kuona hakuna alichomwaga zaidi ya upepo uliofutiwa na harufu ya marashi.Basi kijana huyo hakuwa na cha ziada zaidi ya kuvaa nguo zake na kwa haraka haraka kama mtu aliyechanganyikiwa aliondoka na kutoweka eneo hilo la tukio.Alitoka chumba hicho huku kijasho chembamba kikimtoka..
“Akiyanani tena huyu sio binadamu wa kawaida lazima atakuwa ni jini hawezi kuwa na mautamu ya kiwango hicho, aliwaza kijana yue muuza chips ambaye alikwenda kibandani kwake na kukuta tayari mambo ya meshaahrika.
Kuku aliwaowaweka kwenye karai la mafuta wamegeuka na kuwa mkaa.Radhia alikuwa bado amejilaza pale kwenye sofa akisikilizia uchovu wa shughuli aliyopewa na kijana ambaye hata hakutarajia. “Yaani sijui nitakuwa napita njia gani nikiwa naenda chuo aliwaza Radhia huku akijutia kitendo hicho walichotoka kufanya mda si mrefu.Aliona kama amejizalilisha kutembea na kijana ambaye yeye aliamini kabisa hakuwa hadhi yake. “Lakini si kuna siku nilimwambia kuwa mapenzi hayachagui wala kubagua, basi ndo hivyo ishatokea alijaribu kujifariji Radhia.
Mara akasikia simu yake inaita na akajinyanyua kutoka pale kwenye soafa na kwenda kuichukua kwenye meza. Alikuta ni Tarq akipiga na akaamua kuipokea. “Helow babe huko wapi aliuliza Tariq kwa upole. “Nipo nyumbani wangu” alijibu Radhia kisha Tariq akakata simu. “Huyu naye yaani anauliza Swali tu alafu anakata au yupo nje ya nyumba alijuliza Radhia. “Mbona anasema yupo kwake alisema Tariq akimwambia Halima. “Mmmmh sasa atakuwa amepitia wapi aliuliza swali la kujibaraguza binti huyo. “Bsi twende kwake alipendekeza Tariq na wakaanza kuondoka.Radhia baada ya simu kukatwa alitumia akili za haraka haraka akaweka mazingira sawa na kukimbilia bafuni kwenda kuoga ili kuondoa harufu ya kale kamchezo walichotoka kucheza na muuza chipsi.
Basi Halima na Tariq waliingia kwenye chumba cha binti huyo na walishangaa sana kusikia harufu ya marashi mazuri sana tena harufu ilikuwa ni kali sana. “Huyu naye sijui amepulizia marashi ya namna gani usiku huu alisema Halima mara baada ya uzalendo kumshinda. Ngoja akitoka huko bafuni tumuulize marashi haya yanaitwaaje maana mmmh utafkiri ya jinni mahabati alisema Tariq. “Hivi Tariq unajua habari za majni? aliuliza Halima. “Najua sana hata hapa kuna hisia zinanituma kuwa huenda jinni mahabti alikuwa hapa mda si mrefu..Baada ya kauli hiyo tu Tariq akanza kujisikia vibaya na kuona maruwiruwi.
Macho yakamtoka utazani labda mtu amekabwaa na kitu. Mda huo pia Radhia alikuwa akitoka bafuni alikoingia kujisafisha. Alishangaa kuona Tariq akiwa katika hali hiyo. “Vipi amepatwa na nini alihoji binti huyo kwa mshangao. “Eeeeh hata mimi sielewi tulivyoingia hapa tulikuwa tunapiga story kuhusu haya marashi uliyopuliza nay eye akawa anasema yamekaa kijini jini mimi nikaendelea kubofya bofya simu na kugoogle maswali haya tulioachiwa na mwalimu. “Tariq Tariq, walaiazna kumtingisha tingisha huku kijana huyo akizidi kutulia tu kama mtu aliyepigwa na shoti ya umeme.Hofu na huzuni zikawaingia wakajikuta wanatoka je kuomba msaada.
Wakamchukua Tariq na kumkimbiza hospitali. Na kwa sababu mwili wake ulikuwa umekakamaa huko hospitali wakaanza kumpatia huduma ya kwanza na walimtundukia dripu za maji.
Hakuna aliyeelewa ni kilimpata kijana huyo lakini ripoti za awali zilisemam kuwa hakuna ugonjwa wowote uliokuwa ukimsumbua.Walitafuta rafiki yake wa kiume ambaye angalala naye hospitali na wao wakarudi zao.
Kila mmoja aliingiwa na huzuni wasijue nini kilitokea,Radhia siku hiyo alikwa na hofu sana hivyo alimwomba rafiki yake Halima walale wote. Ingawa Halima naye alikuwa na woga sana lakini alijikaza na kulala na rafiki yake huyo.Usiku Radhia alijiwa na ndoto ya maelekezo ya nini anatakiwa kukifanya. Mzimu wa Barike ulimtokea na kumweleza kuwa kwa nini wamemdhuru Tariq. “Tariq ni kijana anayekupenda sana lakini tatizo lake moja ni kwamba anataka kujaribu kutufautilia fuatilia hivyo tunakuomba ukae mbali naye kama na wewe unataka kweli uishi kwa amani na furaha hapa duniani ilikuwa ni baadhi ya mazungumzo ya ana kwa ana ya Radhia na jini Barike kupitia ndoto.
***ITAENDELEA**

No comments:

Powered by Blogger.