Trending News>>

SIMULIZI :: Jini Mahabati Sehemu ya Kumi na Nne (Kwa wenye miaka 18+)


 

SIMULIZI : JINI MAHABATI
SEHEMU YA KUMI NA NNE
MTUNZI: MANYAMAJR
AGE: 18+
ILIPOISHIA
Akachukua simu yake kisha akaanza kupitia namba moja baada ya ingine nia ni kutafuta namba ya mtu yeyote ambaye yupo karibu anaweza kumpigia na kumwambia kuwa anashida. Radhia usiku huo alikuwa ni kama mtu aliyechaganyikiwa maana hakujua hata kama huo ulikuwa ni usiku wa manane.Akaanza kukutana na namba ya baba Juma baba mwenye nyumba.
Akaanza kuipiga lakini akili zikamrudi haraka haraka akakata na maana alijua inaweza kuleta majanga kwa kuwa mama Juma alikuwepo siku hiyo.Akaendelea kutafuta namba zingine kama zilivyopanga kialufabeti katika simu yake.
ENDELEA
Hapo akafikia namba ya papa Deo mwanafunzi mwenzake ambaye alikuw ni jirani yake lakini alikuwa na mashauzi sana hivyo walikuwa hawaivi chungu kimoja. “Nimpigie huyu kweli mr Misifa aliwaza mara mbili mbili Radhi kabla ya kuamua kujitosa. Akajitoa ufahamu akaipiga simu hiyo na ikaanza kuita ikaita mpaka ikakata bila kupokelea. Radhia bado hakukata tama akapiga tena na safari hii papa Deo mzee wa misifa aliopokea simu hiyo. “Helo, helow ,samahani kwa usumbufu nimeota ndoto ya kutisha sana hivyo naogopa kulala mwenyewe please kama unaweza njoo tuamgalie hata movie maana nashindwa kwa kweli” alisema Radhia bila uwoga wowote.
“What?’ aliuliza kwa mbwembwe za kiingireza kijana Deo au alimaarufu kama papa Deo mutu ya watu mut ya pesa mingi. “If possible well come” (kama inawezekana njoo) alijibu Radhia kwa kiingereza kisha nay eye akakata simu.
Hapo Radhia akaonesha hata yeye ni papaa wa kike maana alionesha dharau za wazi wazi.Bado ule muwasho ulikuwa ukimtekenya tekenya.Akaamka akawasha taa akachukua lap top yake na kuwasha kisha akaweka mkanda wa mautamu.Yaani binti huyu kwa kweli alikuwa na majanga maana hakujua hata alifanyalo.Mzimu wa jinni Barike ulikuwa ukimpelekesha kadri ulivyokuwa ukitaka. Akaweka movie ya utamu utamu tena zile za kinunda zinazoenesha mwanaume anavyo mchezea mwanamke na kumfikisha kileleni kwa haraka zaidi.Sio hivyo tu alifungulia sauti ya juu iliyounganisha kwenye waya wa sabufa. Yaani zile sauti za isiiiiiiiiiiiiih,, mmmmmmmmmmmm,,oooooooooooooo,, yeaaaha zikawa zinasikika laivu bila chenga.
Papapa Deo mukulu mukulu bado alikuwa yupo njia panda hasiamini kama kweli aliyeiga simu usiku huo ni Radhia binti mrembo na anayejisikia kupita maelezo. Binti aliyejaliwa kila kitu kuanzia uzuri wa umbo na sura kisha akapewa bahati ya kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri. Any way huenda ni zali la mentali hili limenikuta aliwaza Deo huku akiamaka na kuvaa bukta ndefu ili kufunika ile boxer yake aliyokuwa amelela nayo kutokana na joto kali liliopo kwenye jiji hilo. Akafungua mlango kimachale akapiga jicho huko na kule ili kuona kama hapo nje kulikuwa na mtu au la? Hapakuwa na mtu hivyo akamtumia meseji Radhia kuwa afungue mlango. Radhia akajibu kwa mbwembwe kuwa mlango uko wazi karibu tu.
Papaa Deo akapiga moyo kondo na kuzama kwenye chumba cha binti huyo.Simuliwa tu kuwa ilikuwa ni usiku wa manane lakini ni kweli ilikuwa ni saa tisa usiku.Akakaribishwa na sauti kubwa ya sabufa la kichina tena sio hata sauti ya mziki au kitu kingine cha maana bali ni sauti za miguno ya mkanda wa xxxxx.Isshhhhhhhhhhhhhh,,,mmmmmmmmmmmmm,, oooooooh,,….. na maneno mengine y matusi ya kizungu.
Papaa Deo akazidi kustaajabu ya Musa na kuyaona ya firauni.Huyu binti atakuwa amepandwa na nini aliwaza Deo mara baada ya kuingia na kurudishia mlango.Macho yalizidikumtoka mara baada ya kumkuta Radhia akiwa ndani ya night dress ambayo ilikuwa ikionesha kila kitu.
Ninaposema kila kitu namaanisha vitu vya ndani na utamu utamu wa umbo zuri la binti Radhia.Maini, firigisi na utumbo vilionekana jambo lililosababisha papaa Deo kupandwa na uchu wa ghafla uchu wa kutaka hata kumrukia binti Radhia binti aliyeridhiwa na viumbe vingine vyenye uwezo wa kibinadamu na kimalaika kama vinavyojinasibu..
Deo alitumia buasara ndogo tu yaani aliichukua remote na kupunguza sauti. Radhia akamwangalia kwa macho ya mahaba kisha akampa mkono ili asogee na kujumuika pale kwenye sofa ili waweze kuangalia ule utumbo uliokuwa ukiendelea kwenye laptop. “Jamani Radhia mimi hizo movie za utamu naziogopa sana maana nahisi nitaamsha hata waliolala” alisema Deo huku na yeye macho yakiwa yamemtoka hasiamini kile alichokwa akiangalia Radhia. Alihisi labda ni ndoto ya usiku hivyo ikifika kwenye utamu basi mda wowote atashtuka..
Lakini ukweli utabaki pale pale hiyo haikuwa ndoto bali ni ukweli mtupu ukweli ambao hata msomaji anaweza hasiamini lakini ndo hivyo hayo ni mambo ya jinni Barike au mahabati kama anavyojulikana kwa wakazi wengi wa mji wa Pangani.
Kimya kikatawala kwa mda watu wote wakatumbulia mimacho laptop ya kifahari ya binti huyo. Ndio ya kifahari maana ilikuwa ni latest Apple yenye kuvutia hata kuangalia. Ila kikubwa kilichokuwa kikivutia sio laptop ni maujanja ya wazungu yaliokuwa yakiendelea kwenye mkanda huo. Deo alishangaza na maufundi hayo ya wazungu. Maana mzungu alikuwa akicheza na viungo vya mwanake utazani labda alikuwa akitaka kumtafuna na kumkula kwa jinsi alivyokuwa akimlamba lamba kila sehemu.
Mlambo wa kwenye shingo, mgongoni kushuka mpaka sehemu za nyumba za makalio ya mtoto wa kike ndo ulimshangaza sana papa Deo. Akatamani hata na yeye amrukie binti huyo na kuanza kujifunzia mautundu hayo kwenye mwili huo laini kama nyama ya ulimi.
“Utaweza kunifanyia hivyo” lilikuwa ni swali la live and direct kutoka kwa Radhia ambaye sasa uzalendo ulianza kumshinda mara baada ya ule mtekenyo tekenyo wa sehemu zake za siri kuanza kumsumbua. Alishangaa kuwa Deo ni mwanaume wa namna gani ambaye hisia zake zipo mbali hivyo. Yaani pamoja nimemuwekea mkanda huu lakini bado anajiuliza nini cha kufanya aliwaza Radhia huku akitamani kabisa kumrukia na kummeza.
Papaa Deo naye alikuwa mbali sana akiwaza amkule binti huyo au amuache. Au anaweza kunipa ukimwi wa bure maana haiwezekani kirahisi rahisi mtoto mzuri kama huyu eti awe nje nje hivi” aliendelea kuwaza na kuwazua papa Deo. Radhia mara baada ya kuona kuwa mwitikio wa Papaa Deo umekuwa mdogo sana aliamua kuinuka na kumsogelea pale alipokuwa amekaa na kufanya kile kinachoitwa zero distanace. Hapo sasa mapigo ya moyo ya papaa Deo yakazidi kuongezeka na kujikuta akitamani hata kukimbia.
Hili litakuwa ni jini sio Radhia niliyemzoea alijisemea Deo huku sehemu zake za siri zikizidi kuumuka na kutuna sehemu za mbele.
Akili za kawaida zikaanza kuzidiwa na akili za usiku zilizochagizwa na mahaba ya tamaa. Radhia akutaka kuanza kusubiri kupewa raha bali alianza kujipa raha mwenyewe. Akaanza kumpapasa papasa sehemu za kifua za mwanaume huyo. Deo naye akaanza kumpa kampani kwa kupitisha mkono nyuma ya mgongo wa bint huyo. Radhia akjisogeza kwa mbele na kuanza kumpelekea kinywa chake kaka wa watu.
Deo alielewa kuwa binti huyo alihitaji huduma ya juisi ya miwa. Naye akasogeza kinywa kisha wakakutanisha na kaunza kunywa juisi ya miwa. Kila mtu akawa bize kuahakisha kuwa anapata utamu utamu wa miwa ya mwenzake. Radhia alifunga na kufungua macho ishara kuwa juisi ya Papapa Deo mukulu mukulu ilikuwa ni tamu sana. Deo hakuwa mbulula sana maana licha ya kusambaza juisi ya miwa pia alikuwa akimsugua sugua binti huyo sehemu za mgongoni kwa kutumia mikono yake.
Kila mtu akawa bize sasa kuahakikisha anaonesha ujuzi wake. Deo akazidi kujisahau na kuona kuwa sasa anahaki ya kuuchezea na kufurahia utamu utamu wa bnti huyo. Akaanza kubusu shingo ya binti Radhia kwa mtindo wa kuuma uma kwa mbali. Nia yake eti amuweke alama ya busu la kizungu wenyewe wanaitaga love bite. Wakati huo mikono yake ikawa bize ikiperuzi na kudadisi kwenye mwili laini wa Radhia.
Akazidiwa kabisa na kupeleka mpaka kwenye mlango wa kuingia kwenye ikulu ya Radhia. Alishangaa kuona sehemu hizo zimeumuka na kufura kama zimewekewa amira vile. “Mmmmmmmh,,,mmmmmh jamaaaani wewe papaa taratibu” alilalamika Radhia mara baada ya kuona spidi ya papa Deo imekuwa kubwa kuliko hata alivyotarajia. Radhia akajirudisha kwa nyuma kidogo na huku na yeye akiendelea kutoa ushirikano kwa kumpapasa papasa kijana wa watu na kufanya utamu wa mechi kuanza kukolea.
***ITAENDELEA***

No comments:

Powered by Blogger.