RAIS MAGUFULI ATINGA MUHIMBILI
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige
Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kwa ajili ya Matibabu. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru
pamoja na Dkt. Juma Mfinanga Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na
Ajali katika hospitali hiyo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mtoto Shukuru Kisonga
aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Shukuru alikuwa
akidaiwa kuishi kwa kula Sukari, Maziwa na mafuta ya kula lakini hali
yake imeimarika zaidi na kuanza kula vyakula vya kawaida. Katikakati ni
Mama yake Shukuru Mwanahabibi Mohamed Mtei.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimtakia heri mtoto Shukuru Kisonga
aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na Mama yake
Mwanahabibi Mohamed Mtei.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali
wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali
wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali
wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jijini
No comments:
Post a Comment