Trending News>>

Ngoma Mpya ya Msanii Mpya wa WCB ipo Hapa Ipakue

By

Jana Kupitia Kipindi cha Radio cha Clouds FM Leo Tena, Lebo ya WCB Wasafi walimtambulisha msanii wao mpya baada ya Rich Mavoko kutambulishwa katika lebo hiyo, msanii ambaye anafahamika kwa jina la Lava Lava.
Na kama kawaida WCB hawakwenda mikono mitupu, wameachia pia na nyimbo mpya ya msanii huyo ambayo imepewa jina la “Tuachane”.
Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza hapa chini ili uweze kuidownload ngoma hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.