Majani ya mpapai husaidia kutibu magonjwa yafuatayo.
Habari yako mpenzi msomaji wa BLOG YETU YA MANYAMAJR, ni matumaini yetu u mzima wa
Afya tele na unaendelea na pilikapilika za hapa na pale katika kuyasaka
mafanikio.
Lakini huwezi kuyapa mafanikio kama hatakuwa umeimarika kifya. Hivyo
kwa kuzingatia hayo tumeona ni vyema tukuletee makala hii ambayo
itakusaidia katika kuimarika kiafya.
Umuhimu wa majani ya papai katika kutibu magonjwa yafutayo:
Majani ya papai husaidia kwa kiwango cha juu katika kutibu majeraha ya vidonda.
Unachotakiwa kufanya ni.
Chukua majani ya papai kisha yatwange twage mpaka uhakikishe yamesagika
kabisa. Kisha yapake majani hayo katika kidondo kisha yaache kwa muda
wa saa moja hadi uhakikishe yale maji maji ya kwenye majani yameingia
katika kidonda.
Kumbuka: kuweka kidonda hicho katika hali ya usafi kila wakati ili kuzuia bakteria kuingia katika kidondo.
Majani ya mpapai husaidia kutibu shinikizo la damu ( blood pressure).
Unachokiwa kufanya ni
Chemsha maji ya moto, maji yakishachemka yaepue, kisha chukua majani ya mpapai yaweke ndani ya maji hayo yamoto.
Uache mchanganyiko huo upoe, kisha yatoe majani hayo, kisha kunywa mchanganyiko huo.
No comments:
Post a Comment