Bifu la Israel na Palestina limehamia michezoni
Blog yetu ya MANYAMAJR inakuletea hii hapa:::
Israel yazuia wanariadha 25 wa Palestina kushiriki michezo ya mshikamano wa kiislamu iliyoanza rasmi mapema siku ya Ijumaa .
Ahmad Al -Ali ,msemaji wa kamati ya Olimpiki ya Palestina aliambia
shirika la habari la Anadolu ya kuwa Israel imewazuia wanariadha 25 kati
ya 105 walio katika timu ya taifa ya Palestina kutoshiriki michezo hiyo
ambayo ni ya 4 mwaka huu.
Katika mkutano na waandishi wa habari ,Faisal Abdulaziz al-Nasser ambaye
ni kiongozi mkuu wa michezo hiyo ya mshikamano wa Kiislamu alikosoa
vikali hatua hiyo ya Israel.
Nasser aliendelea kufahamisha kuwa watafanya bidii kuzuia hatua kama hizo kwa kila mara watakuwa wakiunga mkono Palestina .
No comments:
Post a Comment