Askari Mwingine Auwawa Kinyerezi – Ilala

Taarifa zaidi zimesema ofisa huyo wa Polisi alikuwa akifanya kazi
wilaya ya Kibaha na alikuwa amehamishiwa mkoa wa Kigoma hivi karibuni.
Kamanda Hamduni amesema taarifa zaidi kuhusu polisi huyo zitatolewa
baadaye.
“Ni kweli kuna ofisa wa Polisi ameuawa niko eneo la tukio naomba mniache nifanye kazi tutawapa taarifa baadaye,” alisema.
No comments:
Post a Comment