Trending News>>

VideoMPYA: Matonya anatualika kuitazama video yake mpya ‘Hakijaeleweka’

Ni headline nyingine tena zinasogezwa kwako time hii kutoka kwa star kutoka bongoflevan Seif Shaaban maarufu kama Matonya ambaye ametusogezea mdundo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Hakijaeleweka
Video yake tayari nimekusogezea hapa chini.. na ukimaliza kuitazama naomba niachie comment yako kuhusu ujio mpya wa Matonya ili baadae yeye mwenyewe apite kuzisoma.

Majibu ya Matonya baada ya kuachia mdundo wake wa ‘Sugu Benchi’


Powered by Blogger.