Trending News>>

MPYA: Mabibi na mabwana Young killer ametuletea video mpya ‘Sinaga swagga’

January 8 2017 mkali wa miondoko ya Hip-Hop Tanzania Kassim Yusuph a.k.a Young killer ameachia mdundo wake mpya unaoitwa ‘Sinaga swagga‘ na tayari nimekusogezea video yake hapa chini.
Ni ruksa kudondosha comment yako baada ya kuitazama video hii na ukasema lolote ili baadae Young killer mwenyewe aweze kuzisoma.


Powered by Blogger.