Trending News>>

ZLATAN IBRAHIMOVIC SASA NYUMA YA DIEGO COSTA

Baada ya ligi kuu ya England kuendelea jana, listi ya wachezaji wanaoongoza kwa magoli ligi kuu ya Englad imeaanza kuchafuka baada ya wachezaji kama Ibrahimovic kufanya vizuri kwa kuwa na magoli jumla ya 12 na kuwa nyuma ya Diego Costa.
Listi ya wachezaji wanaongoza kwa magoli bado inaongozwa na Diego Costa wa Chelsea huku ikifuatiwa na Zlatan kutoka Man united na Alexis Sanchez wa Arsenal, Sasa Tazama Full listi ya wachezaji wanaongoza kwa magoli.

No comments:

Powered by Blogger.