Trending News>>

PICHA KUTOKA WASAFI FESTIVAL IRINGA

Usiku wa jana ambayo ilikuwa ni siku ya Christmas team nzima ya WCB Wasafi ilikuwa pande za Iringa kwenye tamasha kubwa la muziki ambalo walikuwa wameliandaa wakali hao na kulipachika jina la Wasafi Festival.Kilihappen ile mbaya kutokana na nyomi lisilo la pole pole kufurika viwanja vya Samora mkoani humo. Unajuaga vile Perfect255 huwa haishindwi kukuletea vitu exclusive kama hivyo, tunazo picha 18 kwa ajili yako.


















No comments:

Powered by Blogger.