Trending News>>

VIDEO: Miss Honduras na Miss Mexico wakiimba Hainaga Ushemeji ya Manfongo


Diana alipost video hiyo akiwa pamoja na Miss Honduras 2016 Kerelyne Campigotti na Miss Mexico 2016 Anna Girault wakiimba wimbo wa kisingeli wa Hainaga Ushemeji wa Manfongo wakiwa katika kambi ya Miss World.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Miss Tanzania 2016 Diana Edward yupo Marekani kwa ajili ya mashindano ya Miss World 2016, fainali ya mashindano hayo itafanyika December 18 2016 VIDEO:


No comments:

Powered by Blogger.