Trending News>>

STORI NDO INAANZA SASA KAMA ULIPANGA KUIKOSA....

SIMULIZI: DOKTA SIUMWI HUKO
SEHEMU: YA KUMI NA TATU
MTUNZI: Mr ManyamaJr
MAWASILIANO: 0767464766


ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:

"Basi, basiiii, basiiiii jamaniiii," Monica uzalendo ulimshinda na kuanza kujinyonyoa manyoa bila kutakiwa kufanya hivyo, alipomaliza kujipembua, huku akilalamika kwa sauti ya kudai huduma, haraka alimvuta Dokta Kisarawe kifuani mwake, akajiweka sawa tayari kwa mechi ya watani wa jadi.

Endelea nayo hapa chini;
Kila mmoja wao alikuwa na hali ya uhitaji wa huduma.

Refaa na wasaidizi wake wakaingia uwanjani na kuruhusu mechi kuanza

Kila upande ulianza kwa kasi kubwa na mashambulizi ya kushitukiza kwenye lango la upinzani, hali iliyowafanya washangiliaji wa pande zote kulipuka kwa mayowe kila mara.

Si Dokta Kisarawe aliyekuwa akifungua kinywa kusema chochote zaidi ya miguno na mihemko ya raha kusikika.

"Mmh! Jamani doktaaa" Monica akajikuta akichombeza baada ya kuzidiwa na manjonjo ya Dokta Kisarawe

"Nini tena jamani Monica, aaah, basi bwana mama;" Dokta Kisarawe naye akawa anagugumia kwa raha baada ya mikono laini ya Monica kupapasa maeneo hatari ya mwanaume huyo.

Monica alikuwa akitembeza vidole vyake kwenye bustani ya kifuani ya Dokta Kisarawe, akawa anavitanua vidole na kuvikutanisha kama mkasi ukatavyo nguo, wakati mwingine vidole hivyo vikawa vinagusa hadi vinundu viwili vya kifuani hapo hali iliyomfanya daktari huyo wa tiba za akina mama aanze kuangua kilio cha raha ya ajabu.

Monica hakuishia hapo, sasa mikono ikawa inatambaa kwa kasi katika sehemu mbalimbali za mwili wa Dokta Kisarawe.

"Jamani mama, si tumesema tuanze;"
"Nakusubiri baba"

"Oooh, nasikia hali ya tofauti sana mama," Dokta Kisarawe aliendelea kulalama huku mechi ikiendelea kuchezwa.

Kuna wakati Monica alimzuia Dokta Kisarawe kuendesha gari lake, na kumtaka atulie ili yeye kunyonga la kwake bila bughudha.

"Tuliaaa, tuliaaa jamaniii" Monica alisema huku akimshikilia kwa nguvu Dokta Kisarawe.

Monica akawa anajizungusha peke yake huku macho yakiwa yamefumbwa, muda mfupi baadaye akaanza kutoa miguno mfululizo huku ulimi akiutoa nje.

Akawa anakunja mapaja na kunyoosha miguu kama kuku aliyekuwa akijinasua kutoka kwa mchinjaji.

"Aaa, aaaah, aaaahaaa," Monica alitoa kelele hiyo na kutulia baada ya kufika mwisho wa safari yake.

Kuona hivyo, Dokta Kisarawe naye akakazana na muda si mrefu naye akatangaza kufika mwisho wa safari yake ndefu na ya kuchosha.

"Ooooh, oooffffuuu alihitimisha huku akijinasua maungoni mwa Monica.

Baada ya mechi hiyo, haraka sana Monica alinyanyuka na kukaa juu ya kitanda hicho cha kulaza wagonjwa na kujiinamia huku akitoa kwikwi za kilio hali iliyomshitua sana Dokta Kisarawe.

"Haa, mbona unalia tena jamani?" Dokta Kisarawe alihoji huku akimalizia kuvaa suruali.

"Kwa nini mimi jamaniiii?" Monica akazidi kutoa kilio cha malalamiko na kujifuta machozi mengi yaliyokuwa yakitiririka kwa kasi ya ajabu mashavuni mwake.

"Kha, sasa mbona unalia na kuhoji kwa nini wewe, maana yake nini sasa" Dokta Kisarawe akawa anauliza na kumsogelea mahali pale, akamgusa begani.

Monica akauondoa mkono wa Dokta Kisarawe kwa kasi hali iliyomjulisha daktari huyo kuwa hali si shwari kwa mrembo huyo.

"Kwa nini nimemsaliti mume wangu mimi?" Monica akawa anasema kwa sauti ya juu na kumshitua Dokta Kisarawe aliyekuwa akihofia watu waliokuwa nje kusikia.

"Sasa Monica, unaposema hivyo kwa sauti ya juu kiasi hicho maana yake nini jamani, au unataka watu wafanye mambo humu ndani?"

"Kwa nini umenishawishi na kumsaliti mume wangu jamani dokta?" Monica akazidi kuhoji huku akitafuta nguo zake na kuanza kuvaa huku akijisonya.

"Sikiliza Monica, wote tumejikuta katika hali hiyo, hakuna wa kumlaumu hapa, sasa nakushangaa sana kama utaanza kunilaumu mimi wakati kama ni raha tumezipata wote

"Raha gani, raha gani dokta nakuuliza, au unataka nikujazie watu chumbani kwako?" alilalama Monica.

"Sasa kwa nini ufikie huko kote, halafu unaposema nilikushawishi nashindwa kuelewa, hadi naanza kukushawishi ulikuwa wapi?"

"Wewe ndiyo chanzo cha usaliti, kwani mimi nilikuambia naumwa huko, ulipoanza kushika sehemu ambazo hazihusiani na ugonjwa wangu nilikuambia kabisa kuwa dokta mi' siumwi huko, lakini hukusikia, lengo lako lilikuwa nini...?"

Je, kilifuatia nini? Usikose kufuatilia chombezo hili

No comments:

Powered by Blogger.