Trending News>>

Ratiba ya Europa Legue 32 bora imetoka, Genk ya Samatta pia ipo


 Ratiba ya hatua ya 32 bora ya Europa League imeshatoka, watanzania wengi wanapenda kujua timu anayocheza Mbwana Samatta KRC Genk imepangwa na timu gani.

KRC Genk itakuna na FC Astra Giurgiu ya Romania katika raundi hiyo baada ya Genk kumaliza vinara katika Kundi lake.

Mchezo wa kwanza Genk itacheza kwenye uwanja wake wa nyumbani halafu itasafiri hadi Romania kucheza mchezo wa marudiano.

Ratiba yote ya mechi za 32 bora Europa League


No comments:

Powered by Blogger.