MSANII NANDY ATAFUTA BWANA MTANDAONI

Ni kupitia page yake ya Instagram, Nandy aliwaomba mashabiki zake wamchagulie boyfriend, yaani mtu ambaye wanaona itakuwa poa sana wakimuona akiwa naye katika mahusiano ya kimapenzi.

Hata wewe pia una haki ya kumchagulia mrembo huyo boyfriend, unaweza kuacha maoni yako hapa chini kwenye uwanja wa comments kisha Nandy atapita nayo kama kawiz
No comments:
Post a Comment