Trending News>>

Zimetajwa Nchi Tano zinazoongoza kwa kutoa misaada zaidi duniani

Zimetajwa Nchi Tano zinazoongoza kwa kutoa misaada zaidi duniani

Ni orodha ya nchi Tano zinazotoa kiasi kikubwa cha misaada kwenye nchi na mashirika mengine duniani. List hii imetajwa na taasisi ya Charities Aid Foundation kwa kupima idadi ya misaada inayotolewa kwa nchi masikini, nchi zenye majanga na watu wenye uhitaji mkubwa wa misaada.

Kwa mujibu wa taasisi ya Charities Aid Foundation: “World Giving Index” imeelezwa kuwa ulifanyika utafiti kwenye nchi 145 mwaka 2015, na kuwasilishwa kwa taarifa za idadi ya asilimia 96 ya watu duniani. Na Data za utafiti zilikusanywa na Gallup World Poll.

NchiKiwango cha MisaadaKusaidia Nchi NyingineMisaada ya KifedhaMuda wa kutoa Misaada
1Myanmar66%55%92%50%
2Marekani61%76%63%44%
3New Zealand61%65%73%45%
4Canada60%69%67%44%
5Australia59%66%72%40%

No comments:

Powered by Blogger.