WADAU WA SHUGHULI ZA USAFIRI WA ANGA NCHINI WAADHIMISHA SIKU YA WATAALAM WA MITAMBO YA KUONGOZA NDEGE - AVIATION OF AIR TRAFFIC SAFETY ELECTRONICS PERSONNEL'S DAY (ATSEP)
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari (wapili kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wa usafiri a anga nchini wakimsikiliza mhandisi wa mitambo ya kuongea ndege ili iweze kutua kwa usalama( AWOS) James Mjema ,wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari ( kushoto) pamoja na wadau mbalimbali wa usafiri a anga nchini wakimsikiliza mhandisi wa mtambo wa kuongozea ndege wa Rada Marco Omari ,wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
Wadau mbalimbali wa shuguli za usafiri wa anga nchini, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usfiri wa anga Tanzania,Hamza Johari,(watatu kutoka kulia) wakimsikilza kwa makini mhandisi wa mitambo ya kuongozea ndege ya DVOR+DME , Kelvin Mwakalobo wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege (CELEBRATION OF AIR TRAFFIC SAFETY ELECTRONICS PERSONNEL'S DAY - ATSEP- )
Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari akiwa na wafanyakazi wenzake wakimsikiliza mtaalam wa mitambo ya kuongozea ndege ya DVOR+DME , mhandisi ,Kelven Mwakalobo (kulia)wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
Mhandisi wa mitambo ya kuongozea ndege ili iweze kutua kwa usalama( AWOS) James Mjema akimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania Hamza Johari (kushoto) namana mtambo unavyofanya kazi wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JANIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege,wengine ni watumishi wa idara ya uhandisi.
Wadau wa shuguli za usafiri wa anga nchini, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania,Hamza Johari,(wapili kushoto) wamsikiliza kwa makini mhandisi wa mtambo wa kuongozea ndege wa Localiser , Francis Charles , wakati walipofanya ziara kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania, Hamza Johari kitoa ushauri juu ya kuendeleza ufanisi wa mtambo wa kuongozea ndege wa Localiser
Wadau wa shuguli za usafiri wa anga nchini katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho siku ya wataalam wa mitambo ya kuongoza ndege.
No comments:
Post a Comment