WADAU WA ELIMU WAKUTANA KWA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM KUJADILI ELIMU YA JUU NCHINI
Mwenyekiti wa kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), Profesa Jacob Mtabaji akizungumza na wadau mbalimbali wa masuala ya eleimu waliofika katika kongamano hilo
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ,Profesa Joyce Ndalichako, akizungumza na wadau wa masuala ya eleimu ya juu wakati alipokuwa akifungua mkutano wa siku mbili kujadili elimu ya juu hapa nchini uliofanyika katika ukumbi wa mwalimu Nyerere.
Profesa Abdul Karim Mvuma, mtaalamu wa masuala ya Geolojia nchini Tanzania akitoa mada katika mkutano huo .
Wadau mbalimbali wa masula ya elimu ya juu wakifatilia kwa makini mijadala mbalimbali ilikuwa ikiendeshwa katika mkutano huo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akisalimiana na Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Riziki .P. Juma mara alipo wasili katika ukumbi huo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ,Profesa Joyce Ndalichako, wapili kushoto akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali kuelekea katika mkutano juu ya masuala ya eleimu ya juu kwa Tanzania ulioandaliwa na Mamlaka ya elimu nchini (TEA) katia ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ,Profesa Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wa sekretarieti ya kongamano hilo.
Posted by Manyama EJG.
No comments:
Post a Comment