Trending News>>

Biashara ya kuremba kucha


Kila mwanamke apenda kucha zake kuanzia kupaka rangi kuzikata vizuri na kuzitunza.Je wewe ni dada/mama unapenda kazi ndogo na kujipatia kipato Kama wewe ni dada/mama wa kukaa nyumbani basi unauwezo mkubwa wa kufanya kazi hii, jifunze jinsi ya kurembesha kucha, jinsi ya kuweka kucha bandia na njia nyingine za kuboresha kucha.Hizi ni ajira ambazo dada/mama ambazo anaweza kuanzisha bila shida.Baada ya kuona uhitaji wa wateja wengi unaweza kuajiri msaidizi/wasaidizi.

Video jinsi ya kuremba kucha..

No comments:

Powered by Blogger.