Trending News>>

Raymond: Nyimbo ya Salome Imenipa Kiki Kubwa Sana Natafutwa Dunia Nzima Nikafanye Kolabo






Msanii Raymond amesema nyimbo ya salome aliyofanya na diamond imempa umaarufu maradufu na sasa anapigiwa simu kutoka sehemu mbalimbali duniani akiombwa afanye kolabo

aesema amepigiwa simu kutoka marekani, italia, india na kwingineko wakitaka kolabo 

 Video: 

 

No comments:

Powered by Blogger.