Trending News>>

Amber Lulu na Giggy Money waanza kuwashiana moto


Baada ya mapema wiki hii kuenea kwa taarifa za kukamatwa kwa model Amber Lulu akiwa na madawa ya kulevya huko mkoani Arusha akijiandaa kwenda nchini China kupitia Nairobi – video vixen hao wameanza kuwashiana moto.

Amber anadaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper Young Dee ameibuka na kuanza kumwagia matusi Giggy Money ambaye aliongea kwenye U-Heard ya Clouds FM na kutoa taarifa hizo za kukamatwa kwake na polisi.

“Muda ambao unahangaika kutafuta kiki ungekuwa unajifunza kuosha k na kutibu hizo fangasi suguu ulizo nazo @gigy_money don’t compare with me iz levels chokoraaaa paka la ambiance stay away from me,” ameandika Amber Lulu kwenye mtandao huo.

Mpaka sasa Giggy hajajibu lolote juu ya ujumbe huo wa matusi aliotumiwa. Amber ameshaonekana kwenye video kadhaa ikiwemo ‘Too Much’ ya Darassa, ‘Inde’ ya Dully Sykes na nyingine.

No comments:

Powered by Blogger.