Trending News>>

Afande Sele kakubali kujiunga CCM ? kayaongea haya…


msanii mkongwe kutoka Bongoflevani, Afande Sele ameingia kwenye headlines za  mitandao  kuhusu kuhamia CCM kutokana na picha iliyosambaa ikimuonesha akiongea kwenye msafara uliosimamishwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu mkoani Morogoro.

Afande Sele amepetikana na kuongea haya - Hizo taarifa si kweli na napokea simu nyingi sana kuhusu habari uliyoisikia ile siku nilipata mualiko wa Serikali kuzungumza machache baada ya Makamu wa Rais mama yetu Samia Suluhu alipofika mkoani kwetu sikuwa pekee yangu bali nilikuwa na mkuu wa mkoa naomba watu wajue kwamba mimi bado nipo katika chama changu cha ACT’

No comments:

Powered by Blogger.