Trending News>>

Matapeli wa ile hela tuma kwenye hii namba wanaswa ...

Wale wazee wa ile hela Tuma kwenye namba hii hatimae wanaswa na police Mbweni Dar es salam


Wale matapeli watumao sms ya ile hela Tuma kwenye namba hii hatimae wanaswa na Police Mbweni jijini Dar es salam.


Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kitengo chake cha upelelezi wa makosa ya mtandaoni (Cyber crime investigation) kimeanza uchunguzi kuwabaini wanaotuma ujumbe mfupi wa simu za mikononi kwa nia ya kuwatapeli wananchi.


Kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa Jana Juni 6, 2018 na Msemaji wa Jeshi la kanda maalum ya Dar es salaam Barnabas Mwakalukwa alisema kuwa yeyote aliyetapeliwa anatakiwa kutoa taarifa kwani jumbe hizo zina lengo la kuwatapeli wananchi.


Baadhi ya jumbe hizo ni :-


"Ile hela tuna kwa namba hii".
"Usipige kwa sasa ,spika imeharibika,tuma ujumbe".


"Mjukuu wangu ile ndagu niliyokutumia imefanya kazi na sasa unapata wateja wengi....sasa njoo uchukue ndagu nyingine ya mvuto".


No comments:

Powered by Blogger.