Trending News>>

Matokeo ya Jumla ya Simba vs Yanga

Hii ni baada ya tambo za muda mrefu kati ya watani wa Jadi yaani Simba na Yanga na hivi leo ndo matokeo yamekuwa kama hivo..
Na hapa Timu ya Wekundu wa msimbazi wanahitaji point tano tu ili waweze kutangazwa mabingwa wa Tanzania Bara baada ya kuhukosa Ubingwa huo kwa muda mrefu kila la kheri Simba Sports Club.

No comments:

Powered by Blogger.