Trending News>>

Tanzia, Mwanachama Simba afariki Dunia

Tanzia, Mwanachama wa Club ya Simba Fii Kambi amefariki dunia leo asubuhi.

Mkuu wa Idara na Mawasiliano wa Simba Haji Manara kupitia ukurasa wake wa  Instagram amesema kuwa ni pigo kwa wanasimba wote kwani Fii alikua akifuatalia kila hatua ya Simba. 

No comments:

Powered by Blogger.