FIFA yatangaza makundi ya Kombe la Dunia 2018, Kundi C&F mtoto hatumwi dukani
Shirika la soka ulimwenguni (FIFA) limetangaza makundi ya michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika mwakani nchini Urusi.
Makundi ya Kombe la Dunia 2018
Mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo utafanyika kati ya Mwenyeji, Urusi dhidi ya Saudi Arabia tarehe 24 juni 2018 kunako dimba la Luzhniki.
No comments:
Post a Comment