AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali
ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika
hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.
Taarifa zaidi endelea kutembelea mtandao wetu.
Breakings: Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake
Reviewed by Unknown
on
December 25, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment