Barnaba Kuibuka na Ben Pol
Msanii wa Bongo Fleva, Elias Barnaba akiwa na msanii mwenzake Ben Pol (kulia).
“Kikubwa ni kumshukuru Mungu na kumuomba atufikishe salama lakini naamini kolabo langu na Ben Pol litakuwa ni la hatari sana, maana mafundi wanakutana, unadhani nini kitatokea kama siyo nyasi kuwaka moto,” alisema Barnaba.
No comments:
Post a Comment