Trending News>>

Aliyetajwa na JPM Kukamatwa na Mabilioni Airport, Afikishwa Mahakamani


IKIWA ni takribani siku 9 baada ya Rais Dkt. John Magufuli kubainisha kukamatwa kwa mtu aliyekuwa akiingiza nchini kiasi kikubwa cha fedha za kigeni katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), dar es Salaam, mtuhumiwa aliyekamatwa na fedha hizo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma zinazomkabili.

No comments:

Powered by Blogger.