Diamond aweka wazi Biashara inamlipa zaidi Kati ya “Chibu Perfume Vs Diamond Karanga”
Katika hatua nyingine alizungumzia kinachomsukuma zaidi kufungua biashara mbali mbali kwa kusema kuwa anataka kutumia muziki wake katika njia ya kujinufaisha hata pale atakapoacha muziki.
“Unaweza kuwa mwanamuziki lakini ukaweza kufanya vitu vingine katika misingi bora ukatengeneza ajira kwa wenzako ukatengeneza kitu ambacho hata kesho na kesho kutwa usipoweza kuimba ukaweza kupata riziki na familia yako ikanufaika” amesema Diamond.
No comments:
Post a Comment