Trending News>>

HII HAPA ORODHA YA KWANZA YA WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO YA ELIMU YA JUU HESLB MWAKA WA MASOMO 2017/2018


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema baada ya uchambuzi wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018, orodha ya awamu ya kwanza yenye wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo imekamilika.




Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatano Oktoba 18,2017 amesema Sh34.6 bilioni zimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao 10,196.
Amesema kwa jumla Sh108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi 30,000 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
Amesema orodha nyingine (batches) zitafuata kwa kadri utaratibu wa udahili na uchambuzi unavyokamilika.
Badru amesema orodha ya awamu ya kwanza inapatikana kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo http://www.heslb.go.tz/ na itatumwa kwa vyuo husika.
AU


3 comments:

Unknown said...

Mkopo wa Mkopo kwenye mlango wako

Je! Unahitaji mkopo wa haraka?
Unahitaji mkopo wa biashara?
Unahitaji mkopo kwa uwekezaji wako?
Unahitaji mkopo kutoa fedha yako tatizo?
Unahitaji mkopo wa kibinafsi?
Unahitaji biashara ya mkopo na mkopo?

Ili kujitambulisha mwenyewe, mimi ni Carl Davids mwenyekiti binafsi ninawapa mikopo kwa kiwango cha riba 2%. Ni fursa ya kifedha kwenye mlango wako leo na kupata mkopo wa papo hapo. Kuna wengi huko nje wanatafuta chaguzi za kifedha au msaada duniani kote na hawawezi kupata moja. Lakini ni fursa ya kifedha kwenye mlango wako na kama vile, hutaki miss nafasi hii. Huduma hii ni kwa watu binafsi, makampuni, wafanyabiashara na wanawake. Kiwango cha mkopo kinapatikana kati ya € 1,000.00 hadi € 500,000,000.00, au idadi yoyote ya chaguo lako kwa habari zaidi wasiliana nasi kwa: carl.davidsloanfirm@gmail.com


kusubiri majibu yako ya haraka,
Kuzidi kwa joto, Carl Davids

Steven George said...

Mkopo wa Mkopo kwa hatua yako ya mlango

Je! Unahitaji mkopo wa haraka?
Unahitaji mkopo wa biashara?
Unahitaji mkopo kwa uwekezaji wako?
Unahitaji mkopo kutoa fedha yako tatizo?
Unahitaji mkopo wa kibinafsi?
Unahitaji biashara ya mkopo na mkopo?

Ili kujitambulisha mwenyewe, mimi ni Steven George mwenyekiti binafsi ninawapa mkopo kwa kiwango cha riba 3%. Ni fursa ya kifedha kwenye mlango wako hadi sasa na kupata mkopo wa papo hapo. Kuna wengi huko nje wanatafuta chaguzi za kifedha au kusaidia karibu na mahali na hawana uwezo wa kupata moja, lakini ni fursa ya kifedha kwenye hatua yako ya mlango na hivyo huwezi kukosa fursa hii. Huduma hii ni kwa watu binafsi, makampuni, wafanyabiashara na wanawake. Kiwango cha mkopo kinapatikana kutoka $ 1,000.00 hadi $ 500,000,000.00, au idadi yoyote ya chaguo lako kwa habari zaidi wasiliana nasi kwa: stevengeorge168@gmail.com

Kama kusubiri majibu yako ya haraka,
Kwa heshima, Steven George.

Bank Instrument said...

My name is Mohammed Ahsan I'm a financial Consultant of a reputable firm Operating out of the United Kingdom
we provide Discrete Financial, Services for High Net Worth CEO's/Executives of Corporation & Senior Government Officials globally.
What we do is Legal & within the ambit of the law but following the Leakage of the Infamous United Kingdom
Papers & subsequent threat by the International Consortium of Investigative Journalists (ICIJ)
International Criminal Court (ICC)
Below is what my Sender can offer.
1, MT103 gpi automatic
2, MT103 wire transfer
3, MT103 TT
4, MT103/202 manual download
5, SBLC lease and Purchase

All bank instrument will be done via bank officer to bank officer, Receiver has to provide bank officer details
on DOA all brokers are welcome and guarantee of there payment after successful deal
kindly send me a message via email and WhatsApp.


Email: mohammedahsan877@gmail.com

WhatsApp- +19893413179

Powered by Blogger.