Trending News>>

Ukimfumania Mkeo Analiwa Live Usimpige, Muadhibu Kwa Namna Hii Atateseka Mno Na Kujuta


Mtakuwa mnaona kila siku nyuzi juu ya kuisalitiwa zinaporomoshwa kila siku na kuomba ushauri, na wengine huwa hawaomba ushauri wanaumia kimya kimya,

matumaini yangu ukitumia njia hizi hakika utamuumiza zaid mwenzako zaid ya kupigana
1. Ukiwakuta wanakulana live kwanza muite jina ajue kuwa umemuona, alafu wasaliimie hata kama wako kitandani, usichukue hatua yeyote endelea na shughuli zako
2. Mkifika ndani ya nyumba wala usiseme chochote,
3. Mtenge kwa wiki kadhaa bila kushiriki chakula ya usiku najua ataomba msamaha lakini shikiria msimamo wako
4. Tegeshea yuko chumbani kwenu nunua box zima la condom au kinga weka juu ya kabati, nadhani hapa atadhani kwamba aisee mchezo utaanza maana kama kanunua hii kamisi nanii ila haniamini, lakin usizitumie,
5. Piga piga simu ukiuliza madaktari kuuliza “halo dokta hivi gharama za kupima ukimwi ni kiasi gani” hii ipige mbele yake
6. Alafu siku hiyo hiyo uliyonunua condomu usiitumie wala kuzitumia zikae tu,
7. Siku ya pili hivyo hivyo tegeshea mtu wa kukupigia simu usiku mmelala , toka kaipokelee nje kabisa asijue umeongea na nani kumbe ni msela umempanga tu akupigie,
8. Wakati wa mchana simu zikipigwa hata na washikaji zako , mwambie ngoja nikapokee simu nje, unaenda mita kama 30, unaongea hata kama ni mwanume alokupigia
9. Muite fundi samani (furniture) mke wako akiwepo muulizie “hivi fundi kuchonga kitanda bei gani siku hizi”
mpe advance mbele ya mkeo umwambie unakitaka kitanda haraka
10. Piga simu kwa wauza magodoro uliza hivi godoro ”shilingi ngapi nataka godoro hapa nyumbani”naomba kesho nipate ilo godoro
11. Kwenye mitandao ya kijamii usi mu unfollow , cha kufanya anza kuweka ukaribu na marafiki zake wa kike comment kuwasifu , na kuonesha kupendezewa na mienendo yao
12. Hama chumbani kwako amia chumba kingine na usiku uwe unaweka full credity unawapigia marafiki zako yeye atakuwa anakuja kuchungulia mlangoni kwako, fungua mlango nenda ukaongelelee njee atakuchungulia dirishani aone simu sikioni haizimi,
13. Siku inayofuata mwambie rafiki yako wa kike ambaye unahisi ni mkali kuliko wote aje nyumbani kujifanya ile proposal mnaimalizia na ameona aje nyumbani na pia katika mazungumzo anasema “hivi mr bonny (mfano) ile project tunaanza na bagamoyo au tunaanzia morogoro?”
mjibu ”nimeongea na operation manager hawajaeleweka wameandaa nyumba ya kulala lakini ni moja kwa wafanyakazi wote hiki kitu sijapenda wengine tumeoa ujue na hakuna kitu kibaya kama mwenzako kuanza kukuhisi, itabidi tuvumilie mpaka wa arrange utaratibu wmingine kama hawaandai basi hatuna jinsi ila mwanume mmoja nalalaje na wafanyakazi wote almost wakike wanitaftie hata sehem bwana” unaongea ukiwa seriouse
14. Kesho yake anza kupanga nguo kwenye begi mwenyewe mkeo akitaka kukusaidia sema hujui napaswa kuandaa zipi ziache naandaa mwenyewe, alafu ukipokea simu ya kutegesha itikia”kwahiyo tunalala nyumba moja au wameandaa utaratibu pili najiuliza swala la nguo kwa mwezi wote huu nibebe zote?” maana nataka nijue pili sitakuwa na wakunisaidia kuzifua nguo hizi japo jenny kasema atanisaidia lakin nabeba chache”
15.nakwambia lazima mke wako kwa vituko hivyo atajishtaki wenyewe kwa wazazi na wazazi wakija sema mbona tuko powa tu atasema hapana mme wangu sema ulivyonifumania aisee smea sema maana hapana
Huyu hawezi rudia tena , ila ungekuwa umemnasa kibao yangeisha akarudia.
Hebu twambie uliwahi kumtesa mkeo au mmeo kisaikolojia?
Twambie kwa njia ipi au unahisi njia gani unaona inafaa,
Cha kuzingatia : watu wenye uwezo wa kufumania mke alafu akanyamaza ni wachache sanaaaa pia kwa wanaoweza kumbuka usinyamaze sana hawachelewi kujiua alafu ukajuta wewe

No comments:

Powered by Blogger.