Trending News>>

UDAKU: Aina Za Wapenzi


1. VIPWENTE– hawa ni aina ya wapenzi ambao yeye anaweza akakumis hadi anahisi network zinakata…..lakini hakutafuti ng’ooo iwe kwa meseji au laivulaivu coz hataki kuonekana yeye ndo wa kwanza kukutafuta.
2. VIMBUNDU – hawa ni aina ya mapenzi ambao hakuonyeshi hata kiduchu kama yuko deep kwako..lakin ole wako akuone unaongea na kidemu/ kiblazamen kingine kazi mbona unayo…hawa huwaga wanapenda ndani kwa ndani kama meli za kivita😀😀😀😀😀😀
3. VISHOKOMZOBE – hawa ni aina ya wapenzi ambao tangu umeanza kuvunja naye amri ya 6 hajawahi kukupa hata kijizawad hata cha asante tu kwa kuridhishana😝😝😝😝😝
4. VINJUNJIO – hawa ni aina ya wapenzi ambao yeye huonyesha tabasamu pale anapokabwa na ukame ila mkishapandiliana ukame ukiisha hana tym tena😜😜😜😜😜
5. ATOMBILE – hawa ni aina ya wapenzi ambao wanakuwa na michepuko zaid ya 6 ila ole asikie kuna mtu anakunyemelea wewe hiyo vita yake bora world war…hawa nao wanapendaga ndani kwa ndani😝😝😝
6. VISHUMUNDU – hawa ni aina ya wapenzi ambao we uwe na michepuko, umpige, umfungie nje, umtukane, ukatae kumtambulisha hakuachi ng’ooo ndo kwanza anazidisha malavidavi…ukikutana na aina hii oa/ olewa fasta au mpka mungu ashuke akwambie huyo ndo nimekuletea..
7. MANDONYA – hawa ni aina ya wapenzi ambao yeye kukuvalisha pete sio kazi utakaa na lichuma lake hata 3 yrz ila kazi kuoa utasikia kamuoa angel wa tanga..
8. VIBINUZI – hawa ni aina ya wapenzi ambao yy ukiwa nae muda wote anachati ukiuliza anachati na nani kinawaka😜😜😜😜
9. VIBUMBUSWA -hawa ni aina ya wapenzi ambao haipiti siku bila kugombana yani hata mkienda kulala ukaweka pozi la kulala kiubavu ubavu utasikia me hata sipendi ukilala hivyo huwa naota ndoto mbaya ili mradi tu mgombane..
10. VITUSU AMAIZING – hawa ni aina ya wapenzi ambao mapenzi yao yamepitiliza ni zaid ya mapenzi kiasi kwamba hata ukijamba utasikia pole baby
hujaumia

No comments:

Powered by Blogger.