Trending News>>

Story ya mapenzi: Jamani baba!!!!!!!!!!!!!!----4



Walishtuka gafla na kuvaa haraka haraka! Ile wanajiandaa kuchungulia wakaona mlango unafunguliwa na Christina akamdaka mkono Christian na kuanza maombi………….
Baba katika jina la yesu nafunga roho zote chafu za mwovu ibirisi!
Roho za uzinzi kwa jina la yesu tokaaa!
Roho za uvivu na kusingiziwa toka kwa jina la yesu, walisali kwa nguvu utafikiri sio waliokuwa wakijiandaa kula tunda tamu.
Baba tunakushukuru kwa yote na tunajikabidhi mikononi mwako nikiomba yote katika jina la yesu Amen!!!
Baba na mama Christian hawakuamini kile walichokiona pale ndani kwao.
Mme wangu nilikwambia hawa majirani ni wambea unaona sasa watoto wetu wanavyosali na kujitahidi kuutafuta uso wa Mungu?
kweli mke wangu, wanangu hongereni sana mzidi kumtafuta Mungu na kumwomba siku zote bila kukata tama.
Christian akajibu: Yaani baba ondoa shaka tumesalii muda mrefu mapepo yote yametoka na mngechelewa kidogo sijui ingekuwaje yaani (mzee hakuelewa kuwa lilikuwa fumbo)
Baba sisi tumejitoa kwa Mungu kumwomba siku zote na nyie mzidi kutuombea kwa Mungu bila kuchoka.
Wazazi walifurahi sana kusikia maneno mazuri toka kwa watoto wao na kuwaahidi kuwapa zawadi nyingi sana kama.................................
Itaendelea kesho

No comments:

Powered by Blogger.