Trending News>>

SIMULIZI:Ukweli Wa Mke Wangu – Part 2


Sikuamini kumuona mke wangu akiwa vile, ila nilijikaza kiume na kurudi baadae nyumbani na sikumkuta na simu zake hazikupatikana zote.
Alirudi mida ya saa saba usiku akiwa amelewa sana, nilitaka nimpige lakini nilihofia kuleta taflani kwa majirani,
Mke wangu alikua hoi sana na alivyojilaza ile mini skirt yake ilifunuka hadi sehemu ya kiuno chake na nilivyomuangalia hakua amevaa chupi kabisa, na sehemu zake zikiwa zimelowa lowa, nilimfunua makalio yake na kukuta utelezi mwingi sehemu ya haja yake na palikua pametanuka sana, na uchi wake ulikua umeloana sana na utelezi mwingi…
Dah niliumia sana, yani mke wangu hadi anafirwa sasa, mimi jipo hapa hapa. Dah hama kweli kisichokua chako sio chako tu.
Sikulala chumbani siku hiyo maana kila nikimuona huyu mwanamke natamani kumpiga nimuue kabisa kwa mambo anayoyafanya.
Asubuhi niliamka zangu, yule mke wangu alikua ameamka na kwenda kuoga zake, sikuweza kuongea nae hata kidogo, na yeye hakuonyesha hata sura ya huruma na kuomba msamaha kwa kitendo alichokifanya usiku wake. Hakukaa sana nyumbani akavaa na kutoka, yaani hiyo ndo mpaka usiku.
Na akirudi usiku mambo ni yale yale , hata kama asubuhi alikua amevaa chupi, akirudi hana chupi na anakua amelewa sanaaa.
Ndugu zangu waliona wa ajabu kutomuacha yule mwanamke, siku moja nikiwa nyumbani, niliishika simu ya mke wangu na kuifungua sehemu za message, dah nilichokiona nilistuka sana.
Yaani kuna rafiki yake alimpa ushauri wa kunipa limbwata ili nisimuache na aendelee kunifanyia vituko mule ndani. Baada ya kuusoma ule ujumbe nilijihisi kama kitu kimeachia hivi mwilini mwangu na kua huru kabisa.
Siku hiyo hiyo nilitafuta dalali na kwenda kupanga nyumba maeneo ya mbali na pale, nilimchukua mtoto wetu na dada wa kazi nabyule ndugu yangu na kuhama nae,
Pale nyumbani sikuchukua vitu vingi zaidi ya nguo zangu , za mtoto na za dada wa kazi.
Niliacha barua moja ikisema “nimelivua penzi na ndoa yetu, nakuacha uwe huru na maisha yako, mtoto nipo nae na nitamsomesha na kumgharamia”.
Namba za yule mwanamke niliziblock na kuanza maisha mapya, sikukawia sana nikaanza kukaa na yulee mwanamke niliyezaa nae nje. Maisha yalikua mazuri, huyu mwanamke wa sasa alikua muelewa na mwenye tabia njema na mwenye kutaka maendeleo.
Maisha yalikua vizuri sana na yalienda vizuri. Ilipita miaka mitatu sikusikia tena taarifa za yule mwanamke niliyemuacha kipindi kile.
Siku moja iliingia text kwenye namba yangu, mtumaji sikumjua kwakua haikua nimeisave. Ujumbe wake ulikua ” mume wangu, ni siku nyingi zimepita na ni mambo mengi nimekufanyia, naomba unisamehe kwa yote mume wangu. Nilikukosea sana na sikukujali hata kidogo, najua siwezi kusamehewa kwa niliyokufanyia lakini naomba turudiane mume wangu, yani hapa nina majonzi makubwa kwakua sina kizazi tena saizi, upumbavu wangu wa kutoa ovyo mimba ndo umenifanya niingie kwenye matatizo, najuta kuharibu maisha yangu. Naomba turudi tuleee mtoto wetu pamoja. Nisameheee. ”
Sikutaka kuujibu ule ujumbe, sikutaka kurudi maisha yale ya kero na karaha, nioiifuta ile text na kuendelea na maisha yangu.
Ile namba ilinisumbua sana kwa muda mrefu bila kuijibu. Mpaka baba mkwe wangu akanipigia na kuniambia mambo yaliyomtokea yule mke wangu na jinsi anavyohaha sasa hivi kutaka kurudi kwangu.
Nilimjibu jibu moja tu baba mkwe kua siwezi rudi kwa yule na kwamba nina familia nyingine sasa.
Yule mwanamke wa zamani hali yake ilizidi kua mbaya na mawazo kwakua hakuweza kupata mtoto tena, na alivyosikia kutoka kwa baba yake kua nimeoa mke mwingine na nina familia, ndo maisha yake aliyaona hayana thamani.
Hivi leo nasikia anatembea tu na watoto wa wanawake wenzake na wanaume kibao. Hana mume wala mtoto tena.
End

No comments:

Powered by Blogger.