Trending News>>

Matokeo ya Ligi Kuu England,Hispania na msimamo baada ya game za leo



Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018 imeendelea leo kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja mbambali England, wakati Ligi Kuu Hispania imeendelea kwa michezi kuchezwa, inawezekana hukupata nafasi ya kutazama game basi naomba nikusogezee msimamo wa Ligi na matokeo.
Matokeo ya game za EPL zilizochezwa September 16 2017.
Msimamo wa EPL baada ya game za September 16 kuchezwa.
Matokeo ya game za LaLiga za September 16 2017.
Msimamo wa LaLiga baada ya game za September 16 2017 kuchezw
a

No comments:

Powered by Blogger.