Trending News>>

Makonda aingilia kati Ishu ya Zari na Hamisa Mobetto

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshindwa kujizuia kufuatia kinachoendelea mitandaoni kuhusu warembo wawili, Zarinah Hassan maarufu ‘Zari The Boss Lady’ na Hamisa Mobeto na kujikuta akiandika ujumbe mzito kusmihi Zari.

Soma alichokiandika Makonda.

No comments:

Powered by Blogger.