JPM Achangia Mifuko 400 ya Saruji, Sh 5M Ujenzi Kanisa la Wasabato Dar
Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wamepiga magoti
wakati wakiombewa na Maaskofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato
Magomeni.
Rais
Magufuli akimsikiliza Waziri Mstaafu wa Awamu ya Nne, Steven Masatu
Wasira wakati wa kuchangia Harambee ya Ujenzi wa Kanisa hilo.
Rais Magufuli na mkewe waakikabidhi mifuko 400 ya saruji itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa hilo.
Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakijumuika na waumini wa Kanisa hilo kusali Ibada ya Sabato.
No comments:
Post a Comment