Trending News>>

Zanzibar kukosa umeme kwa masaa 7 kesho

Tanesco, Makao makuu
Shirika la umeme Tanzania (Tanesco) limetoa taarifa ya kukosekana kwa nishati ya umeme kesho jumapili ya tarehe 02 Julai, 2017 kufuatia maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupooza umeme kunduchi.
Taarifa hiyo imesema huduma hiyo itakosekana kuanzia saa mbili 2 kamili asubuhi mpaka saa 9 kamili mchana huku ikiitaja Zanzibar kuwa ni sehemu mojawapo itakayokosa huduma ya umeme kesho katika muda uliotajwa.

No comments:

Powered by Blogger.