Tamasha la ‘Komaa Concert’ Laweka Historia jijini Mwanza
Msanii
wa RnB, Ben Pol akifanya yake stejini katika Tamasha la Komaa Concert
limefanyika jana jijini Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba.
Mashabiki wa EFM wakiendelea kupata burudani kutoka kwa Ben Pol (hayupo pichani).
Chemical akiwa live kwenye steji.
Mashabiki wakiendelea na shangwe.
Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akifanya yake.
MCs wa tamasha hilo la komaa wakiwa stejini, kulia ni mtangazaji wa kipindi cha Genge TZA au Fido pamoja na Snalisious.
Tamasha hili ni la burudani pamoja na uwezeshaji ambapo zaidi ya wasanii kumi na moja watatumbuiza katika jukwaa moja akiwemo Darasa, Rich mavoko, Ben pol, Ney wa Mitego, Manfongo, Msaga Sumu, Chemical, na wengineo.
No comments:
Post a Comment