SAIDA KAROLI: NILIJUA IPO SIKU NITAINUKA
MWANAMUZIKI maarufu wa nyimbo za asili, Saida Karoli ambaye hivi sasa anatamba na wimbo wake uitwao Orugamba, amefunguka kuwa japokuwa alipitia kipindi kigumu hapo nyuma, lakini aliamini ipo siku Mungu atamuinua tena.
Akizungumza
Saida alisema katika hupaswi kukata tamaa hata mara moja, unachotakiwa
kufanya ni kujikaza na kuendelea kufanya kile kitu ambacho unakiamini na
kukipenda.
“Nyuma
nilipata tabu nyingi sana lakini kikubwa ninachokiamini ni kutokata
tamaa maishani mwangu maana ningefanya hivyo leo nisingesikika na mtu
yeyote tena na Saida ndiyo angeishia hivyohivyo na Chambua kama Karanga
lakini niliamini bila kukata tamaa kuwa Mungu ataniinua tena leo hii,”
alisema.
No comments:
Post a Comment