
Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Romelu Lukaku.
Klabu ya
Manchester United imemtambulisha rasmi
Romelu Lukaku kuwa
mchezaji wa timu yao akitokea Everton kwa dau la pauni miliini 75 na
kuwa mchezaji ghali zaidi upande wa straika kuwahi kusajiliwa katika
timu za England.

Lukaku (katikati) akifanya mazoezi na wachezaji wa Man Utd.
Lukaku mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka mitano na
atakuwa akilipwa pauni 200,000. Amepiga icha akiwa amevaa jezi ya Man
United akiwa nchini Marekani ambapo alikuwepo kwa ajili ya mapumziko
akiwa na
Paul Pogba wa timu hiyo.
No comments:
Post a Comment