Picha 5 za Mbunge wa CCM Alivyotaka Kupigana na Wabunge wa CHADEMA Jana Bungeni
MBUNGE
wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza, jana alizua timbwili nje ya
viwanja vya bunge na kunusurika kupigwa na wabunge wa upinzani kutokana
na kuwatambia kwamba atahakikisha Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ambaye
yuko kifungoni anaendelea kusota huko.
Wabunge hao wa Chadema waliitwa Polisi kuhojiwa usiku wa kuamkia leo
Hapo chini ni picha za tukio hilo
Wabunge hao wa Chadema waliitwa Polisi kuhojiwa usiku wa kuamkia leo
Hapo chini ni picha za tukio hilo
No comments:
Post a Comment