Trending News>>

Manny Pacquiao kuzichapa na Jeff Horn kesho



Manny Pacquiao (kushoto) akitunishiana msuli na Jeff Horn wakati wa kupima uzito jana Uwanja wa Suncorp kuelekea pambano lao la kesho kutetea ubingwa wake wa WBO uzito wa Welter mjini Brisbane nchini Australia

No comments:

Powered by Blogger.